Mkongwe Chuji amesaini Ndanda FC. Posted by eskaone blog on August 01, 2017 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Aliyewahi kuwa kiungo wa Yanga Athumani Idd Chuji amejiunga na Ndanda FC ya Mtwara kwa mkataba wa mwaka mmoja. Hivi karibuni Chuji alionekana akiitumikia timu ya Faru Jeuri pamoja na mkongwe Haruna Moshi 'Boban' kwenye michuano ya Ndondo Cup. Comments
Comments
Post a Comment