Katika hali ya kushangaza sijawahi kuona jambo kama hilo katika dunia hasa kwenye mashindano ya soka au mpira wa miguu timu zilizokuwa kundi moja zikutane katika raundi ya kwanza ya mtoano ikiwa kuna makundi mengine ambazo timu zinafuzu.
katika hali ya kawaida nilitegemea kuina stars ingekutana na ethipoia katika hatua ya nusu fainali au fainali kwa upande wangu naiona CECAFA imechemsha ijaribu kute geneza mashindano yenye mvuto na yasiyochisha kwa mashabiki wa soka na ti mu zinazoshiriki mashindano hayo.
wakati mwingine CECAFA ijaribu basi kuleta kitu cha tofauti na iache kuishanngaza dunia kwamba Africa hasa Africa mashariki na kati bado wako nyuma katika maendeleo na soka..
Comments
Post a Comment