Benitez alichukua timu hiyo kwa muda ili kuikomboa isishuke daraja lakini hata hivyo ilishindikana kutokana na kuachwa kwenye hali mbaya na kocha Steve McCLaren.
Mspaniola huyo alisaini mkataba jana jumatano ambao utamweka kwenye St James park hadi mwaka 2019 katika kipindi cha majira ya joto.
Kocha huyo ambaye aliwahi kuzifua Valencia, Liverpool na Real Madrid alisema alishawishika na nguvu ya mashabiki wa timu hiyo na kumfanya aendelee na kibarua.

Comments
Post a Comment