Rashford asaini mkataba mpya Man united


Mshambuliji kinda wa Manchester united Marcus Rashford amejitia kitanzi rasmi yake baada ya kusaini mkataba mpya.

Rashford 18, amesaini mkataba wa miaka minne ambao utamweka Old Trafford hadi mwaka 2020 hii baada ya kuonesha kiwango bora kwa timu yake.

Rashford ameungana na mchezaji mwingine kinda wa timu hiyo Cameron Borthwick-Jackson ambaye amesaini mkabata utakaomweka hadi mwaka 2020 baada ya kumwaga wino leo.

Comments