Azam imefikia uamuzi huo baada ya timu hiyo kufanya mazungumzo meza moja na kocha huyo ambaye amekubali kubwaga manyanga.
Afisa mtendaji mkuu wa Azam Saad Kawemba alisema wameachana rasmi na Stewart Hall na sasa timu hiyo itakuwa chini ya kocha msaidizi Dennis Kitambi ambaye atamaliza nao dhidi ya Yanga katika fainali ya kombe la FA.
"Tunamtakia kila la kheri huko aendako, timu yetu ipo nafasi ya pili tumefika nae pazuri." Alisema Kawemba

Comments
Post a Comment