Beki Villa yaitoa udenda Liverpool


Liverpool inavutiwa na mpango wa kumsajili beki wa Aston villa Jordon Amavi ili kuongeza nguvu kwenye timu yao.

Kocha wa Liverpool anataka kufanya marakebisho kwenye baadhi ya maeneo kwa kusajili wachezaji wapya ambayo watakabiliana na upinzani mkubwa uliopo Epl.

Amavi alionesha uwezo mzuri katika nafasi ya kushoto anayocheza na kasi yake ndiyo imekuwa kivutio kikubwa machoni kwa Jurgen Klopp.

Pamoja na Klopp kumpa changamoto golikipa namba moja wa Liverpool Simon Mignolet kwa kusajili kipa mpya bado anahitaji kutoa changamoto katika nafasi ya Alberto Moreno kwa kumsajli beki huyo kutoka Villa.

Comments