England yainyonga wales

Timu ya England leo imebuka na ushindi dhidi ya Wales baada ya kuichapa goli 2-0.

Wales ilipata bao kupitia Gareth Bale aliyefunga kwa freekick lakini Vardy aliyetokea benchi alichomoa bao hilo dakika ya 46 kipindi cha pili.

Roy Hodgsona alifanya mabadiliko mengine kunako dakika ya 68 alimtoa Raheem Sterling na kuingiza Daniel Sturridge ambaye alizamisha wavuni bao la pili kunako dakika ya 90.

Kwa ushindi huo sasa England inafanikiwa kuongoza kundi hilo ikiwa na pointi nne huku Wales akiwa namba mbili kwa pointi 3 pamoja na Slovakia ikifuatiwa Urusi yenye pointi 1.

Comments