Mshambulaji wa timu ya Zenit St Petersburg, Hulk ametua katika ligi ya china maarufu kama Chinese super league kujinga na Shanghai SIPG.
Hulk 29, amevunja rekodi ya usajili iliyowekwa na aliyekuwa kiungo wa Shakthar Donetsk Alex Teixeira Jiangsu Suning baada ya kusajili wa dau la paundi 40 milioni.
Mbrazili huyo ataungana na nyota kadhaa waliowahi kucheza Ulaya wanaokipiga katika timu hiyo akiwemo Gervinho, Martinez, Teixeira, na Lavezzi.

Comments
Post a Comment