Timu ya Manchester united huenda ikakamilisha mpango wa kumsajili mshambuliaji wa PSG kabla ya kuanza kwa michuano ya EUFA euro.
Zlatan Ibrahimovic atasaini mkataba wa mwaka mmoja na timu hiyo na tayari mipango hiyo ipo kwenye hatua za mwisho.
Kama Man united itakamilisha dili hilo Ibrahimovic atakuwa mchezaji wa kwanza kutua Old Trafford chini ya kocha Jose Mourinho.

Comments
Post a Comment