Yanga ambao kwa sasa wamepiga kambi nchini Uturuki kujiandaa na MO Bejaia ya Algeria itakuwa huru kuwatumia wachazaji iliyowasajili baada kupokea kibali kutoka CAF.
Yanga itashuka Dimbani Juni 19 katika mchezo wake wa kwanza wa kundi A na MO Bejaia baada ya hapo atarudi nyumbani kujiandaa na mchezo wa pili dhidi ya TP Mazembe Juni 28, mwaka huu.
Wengine walioungana na Kessy ambao walisajiliwa na Yanga ni pamoja na Juma Mahadh, Kipa Beno David Kakolanya na Adrew vicent 'Dante'.

Comments
Post a Comment