Mbeya city kufanya ziara nchini Malawi


Timu ya Mbeya inatarajiwa kufanya ziara yake ya kimichezo nchini malawi ikiwa ni sehemu ya kujiandaa na ligi kuu Vodacom msimu ujao.

Katika ziara hiyo Mbeya city itachecheza michezo miwili dhidi ya Big Bullets Juni 18 na mchezo mwingine dhidi ya Civo United ambao utachezwa Juni 21 mwaka huu katika uwanja wa Civo na ule wa kwanza utapigwa katika uwanja wa kamuzu Banda.

Mbeya city wamethibitsha taarifa kwenye tovuti ya na page ya mtandao wa Instagram ikiwataka wapenzi wa timu hiyo kuwashrikisha mashabiki wengine ili waelewe kile kinachoendelea kwenye timu hiyo.


Comments