Nikisiwa kidogo sana, ikiwa ni nchi yenye wakazi takribani laki 330, kufuzu kwao hatua ya 16 bora na sasa hatua ya mtoano ni kitu cha ajabu sana kwenye soka hasa kwa timu ambayo ilikuwa haipewi nafasi yoyote katika mashindano haya, wengi waliina kama timu wasindikizaji, lakini walichokifanya mpaka sasa ni moja ya maajabu na miujiza katika soka
Wakianzia michuano hiyo kwenye kundi F,lililokuwa na timu za Ureno, Austria na hungry. Mechi yao ya kwanza wakatoa sare na ureno na sare na hungry kabla ya kumfunga Austria goli 2-1 na kufuzu hatua ya mtoano kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hiyo ambapo walikutana na uingereza na kumfunga goli 2-1 na kutinga hatua ya makundi.
Katika macho ya wanasoka wenginikionekana hatua tya mtoano ndio mwisho wao , Iceland wakaushangaza ulimwengu baada ya kutoka nyuma kwa bao moja na kuibuka na ushindi wa bao 2-1, sasa watakutana na Ufaransa katika robo fainaili mchezo utakaochezwa july 03.
Siri ya miujiza yao
Kufikia hatua ya mtoano na hatua ya robo fainali ni moja ya stori za timu zisizopewa kipaumbele katika soka kuonyesha ni nni wanaweza kufanya lakini matokeo na mafanikio haya yanatokana na muunganiko wa mfumo mzuri wa soka la vijana liloanzishwa nchini kwao kwa miaka 15 iliyopita .
Kitu pekee kinachoweza kukushangaza ni kila baada ya umbali kadhaa kuzunguka nchi hii kuna viwanja na sehemu za kufanyia mazoezi hata kwenye miji iliyobanana bado kuna sehemu za viwanja vya michezo.
Tukiongelea miji iliyobanana katika kisiwa cha watu laki 330 unaweza, ni maeneo yaliyo na nyumba chache na duka moja. Kikiwa ni kisiwa ambacho kinaonekana kujitenga na bara ulaya ni miongoni mwa nchi zenye idadi ndogo ya watu kuwahi kufuzu kwa michuano ya mataifa ulaya maarufu kama Euro. Kwa ulinganifu, Albania nchi ya pili katika michuano kwa kuwa na idadi ndogo ya watu inakadriwa kuwa na mara tatu zaidi ya idadi ya watu wa Iceland.
Lakini kama zilivyo nyumba za maeneo ya mashambani zinazopendezesha kisiwa hiki nidivyo ilivyo miundombinu ya michezo kwa ajili ya kizazi kinachochipukia cha soka kupata nafasi ya kufanya mazoezi.

Comments
Post a Comment