Pacha wa Ngoma Rasmi Jangwani


Timu ya Yanga imekamilisha dili la mshambuliaji pacha wa Donald Ngoma, Obrey Chirwa baada ya kusaini miaka miwili kuwatumikia mabingwa hao Vodacom.

Chirwa alikua mshambuliaji pacha wa Donald Ngoma katika timu Platinum ya Zimbabwe na ambapo pacha ya yao ilikua Gumzo.

Yanga pia ipo kwenye hatua ya kukamilisha kibali cha mchezaji huyo kutoka CAF ili aweze kushiriki michuano ya kombe la Shirikisho inayoendelea.


Comments