Stars kuivaa Misri leo

Timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' leo itashuka dimbani katika mchezo dhidi ya Misri kwenye uwanja wa taifa.

Stars itashuka dimban kusaka tiketi ya kufuzu finali za mabingwa Afrika (AFCON) itakayofanyika nchini Gabon hadi sasa Stars ina point 1 pekee.

Stars inatakiwa kushinda mchezo wa leo na ule wa Lagos dhidi ya Nigeria ili kujihakikishia nafasi ya kushiriki fainali hi zo.

Kutoka kwa Chad kulivuruga mipango ya taifa Stars, Chad iligomea mchezo marudiano dhidi ya stars kuifanya stars ipoteze pointi  3 ilizochukua katika mchezo wa ugenini

Comments