Tabiri na Paul Merson: UEFA euro 16


Paul Merson ambaye ni mchambuzi wa soka katika kituo cha sky sports ya nchini Uingereza ametabiri matokeo kwenye hatua ya 16 bora ya michuano ya UEFA euro kama ifuatavyo


  • Switzerland 1-2 Poland 
  • Wales 2-1 Northern Ireland 
  • Croatia 2-3 Portugal 
  • France 2-1 Republic of Ireland 
  • German 2-0 Slovakia 
  • Hungary 1-2 Belgium
  • Italy v Spain on penalties
  • England 3-0 Iceland
Hayo ndiyo maono ya mchambuzi wa Paul Merson unaweza kuchangia yako pia kwa kupitia page hii au kapsema@gmail.com

Comments