Beki ya timu ya taifa Stars na Simba SC mohamed Hussein 'Tshabalala' amesema kuwa hana mpango wa kuondoka msimbazi wa sasa.
Licha ya aliyekuwa beki wa kulia wa Simba Hassan Kessy kutimkia Yanga Tshabalala kwa upande wake anaona timu hiyo ndiyo mahala sahihi kwa sasa.
Tshabalala alisema anashangazwa na maneno ya uzushi kuhusu yeye kutaka kutimka Simba lakini amesema kuwa yeye ni mchezaji halali wa timu hiyo kwa kuwa bado ana mkataba wa mwaka mmoja wa kuitumikia Simba.

Comments
Post a Comment