Wenger akubali Kante ni jembe


Kocha wa timu ya Arsenal Mafaransa Arsene Wenger amekiri kwamba kiungo wa Leicester ni moto wa kuotelea mbali.

Wenger alisema kuwa licha ya mchezaji huyo kuwa na msimu wa kwanza kwenye ligi kuu na ligi ya England(EPL) lakini amedhihilisha kuwa ni mmoja kati ya viungo bora Duniani kutokana na kaiz kubwa aifanyayo England.

Wenger aliongeza kuwa  anakoshwa sana na mbinu za mchezaji huyo ambaye amesifia ujuzi na ubunifu wake awapo uwanjani.

Kante kwa sasa anaziingiza vitani timu kubwa ikiwemo PSG, Chelsea, Manchester united ambazo zote zinahitaji huduma ya mchezaji huyo.




Comments