Kiungo wa Liverpool Joe Allen ametua Stoke city baada ya kusaini miaka mitano ya kuitumikia timu hiyo.
Allen aliyeng'aa kwenye michuano ya UEFA Euro akiwa na Wales amesajiliwa kwa dau la £13 milioni, baada ya timu hizo mbili kufikia makubaliano.
Kusajiliwa kwa Kiungo Giorginio Wijnaldum kutoka Newcastle kulithibisha wazi Jurgen Klopp haitaji huduma ya mchezaji huyo.
Allen Liverpool kwa miaka minne tangu asajiliwe na Basajiliwendan Rodgers
ambaye kwa sasa ni kocha wa Celtic akitokea Swansea mwaka 2012.

Comments
Post a Comment