Rais wa timu ya Simba James Aveva amesema kuwa hatamaliza uongozi wake Kwenye timu hiyo bila kubeba ubingwa.
Aveva alisema kukubali kuka ubingwa kukubaliubingwawa ni mara ya 3 tangu aingie kwenye uongozi wa klabu ya Simba na jopo la viongozi wake.
Aidha Rais huyo aliongeza kuwa watu watarajie mambo makubwa siku ya Simba ili waone kikosi cha Simba kilivyo imara msimu huu.
Timu ya Simba imejichimbia kambini Morogoro chini ya mwalimu Joseph Omog ikiendelea na mazoezi makali kwa ajili ya kurejesha makali na heshima ya timu hiyo kwenye msimu mpya wa ligi.

Comments
Post a Comment