Mchezaji wa zamani wa Simba Haruna Chanongo amesaini miaka miwili kuitumikia timu ya Mtibwa Sugar ya Morogoro.
Ingawa wiki iliyopita taarifa zilizagaa kuwa Chanongo alisaini miaka miwili ya kuendelea na timu ya Stand United jambo ambalo limepingwa na TFF.
TFF ilithibitisha kuwa haitambui makubaliano ya mkataba kati ya mchezaji huyo na Stand united lakini sasa anatambulika kama mchezaji rasmi wa Mtibwa Sugar.

Comments
Post a Comment