Timu ya chelsea imekubali kulipa dau la Euro 29.5 milion kama ada ya uhamisho wa N'golo Kante.
Kante 25, ameridhia kutua Chelsea licha ya kufukuziwa na timu kadhaa ikewemo Arsenal, Man united, Real Madrid, juventus na Liverpool.
Chelsea ilipwaya kwenye sehemu ya kiungo msimu uliopita na kutokana na Nemanja Matic na Cesc Fabrigas kutumika kwenye mechi nyingi na kocha Antonio Conte anaona kiungo huyo n suluhisho.
Mfaransa huyo huenda akatua Chelsea muda wowote kuanzia sasa baada ya mazungumzo baina ya timu hizo mbili kuendelea vizuri.
Comments
Post a Comment