Baada ya kuwemo kwenye moja ya wachezaji waliotemwa Mwadui FC Athuman Iddy Chuji atua timu ya manispaa kinondoni (KMC).
Kiungo huyo wa zamani wa Simba na Yanga alikabidhiwa jezi namba 28 ili kuongeza nguvu kuiongoza timu hiyo kupanda daraja kuelekea ligi kuu.
Mbali na Chuji pia timu hiyo imesajili baadhi ya nyota kutoka Kagera Sugar, Mbeya city na JKT Ruvu akiwemo Rashid Ngoah kutoka Simba.

Comments
Post a Comment