Hii ndiyo jezi mpya Arsenal 2016/17

Jezi mpya Arsenal nyumbani na ugenini.

Lakini pia Arsenal imetoa jezi chaguo la tatu endapo haitatumia mojawapo ya jezi ambazo ziko hapo juu kama ionekanavyo hapo chini.

jezi toleo la tatu Arsenal

Comments