Mshmbuliaji mpya wa Manchester united amemjibu nyota wa zamani wa timu hiyo Eric Cantona kuwa yeye atakuwa mungu wa Old Trafford.
Cantona ambaye anatambulika kama mfalme wa Old trafford aliposti kuwa mchezaji huyo atakuwa mwana mfalme katika timu hiyo.
Lakini cha kushangaza ni kuwa Ibrahimovic alijikweza zaidi badala ya kujishusha kinyume na matarajio ya watu wengi ambao wanafahamu umaarufu wa Mfaransa huyo ambaye aliwika Manchester united.
"Cantona ni mchezaji mkubwa Manchester united, ila mimi sitakuwa mfalme bali nitakuwa Mungu." Alisema Ibrahimovic

Comments
Post a Comment