Jezi ya Martial yazua balaa Man united


Mshambuliaji wa Manchester united Antony amechukizwa na kitendo cha timu yake kumkabidhi Zlatan Ibrahimivic jezi namba 9 bila kumshirikisha.

Inasemekana uongozi wa manchester united haukufanya makubaliano wala kufanya mazunguzo na mchezaji huyo kuhusiana na suala hilo.

Martial ambaye yupo mapumzikoni baada ya fainali za UEFA Euro amejitoa kuifuata mitando ya Manchester united kwenye Instagram na Twitter.

Martial 20, ni moja kati ya wachezaji wanaofanya vizuri England tangu alipojiunga na Manchester united alitokea Monaco ya Ufaransa.

Comments