Juventus yakataa dau la Pogba


Juventus imekataa dau la uhamisho wa Euro 85 milioni kama ada ya uhamisho wa Paul Pogba ili kumrejesha nyota huyo Old Trafford.

Juventus bado imeshikilia msimamo wake wa kumweka sokoni nyota huyo kwa thamani ya Euro 85 milioni kwa timu itakayomuhitaji.

Pogba 23, aliondoka Manchester united bure mwaka 2012 kuelekea Juventus na sasa timu hiyo chini ya Jose Mourinho ipo kwenye wakati mgumu wa kumrejesha nyota mwenye kiwango cha juu uingereza.

Comments