Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) imeamua kujivua rasmi kuidhamini klabu ya Simba baada ya kusitisha zoezi la mkataba mpya.
Hatua hiyo ilikuja baada ya Yanga kuanza kusitisha mkataba na kampuni hiyo kutokana na kupata mdhamini mpya aliyepanda dau Simba imeweka suala hilo.
"Yanga wamesitisha mkataba kutokana na mahitaji yao kuwa makubwa zaidi, jambo hilo halina faida kwa TBL hivyo wameamua kusitisha mkataba na timu ya Simba pia."
Mkataba kati ya Simba na TBL unaisha siku ya jumapili, lakini kuna ushawishi mkubwa kwa kampuni hiyo ili kuendelea kuidhamini timu hiyo"
Comments
Post a Comment