Mexime atua Kagera Sugar Posted by eskaone blog on July 09, 2016 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Aliyekuwa kocha wa Mtinwa Sugar Mecky Mexime ameachana na timu hiyo na sasa ni kocha rasmi wa timu ya Kagera Sugar. Nahodha huyo wa zamani wa taifa Stars ndiye mrithi wa Adolph Richard baada ya kusaini mkataba wa kuwanoa wana sukari hao wa Kagera. Kuna tetesi huenda mtibwa Sugar ikahamia kwa kocha wa zamani Salum Mayanga ambaye kwa sasa anainoa Prisons ya mbeya. Comments
Comments
Post a Comment