Moyes atua Sunderland


Kocha wa zamani wa Everton David Moyes amerejea kibaruani baada ya kupata dili la kuinoa Sunderland.

Sunderland imefanya maamuzi hayo baada ya kuondoka kwa kocha Sam Allardyce ambaye ameteuliwa kuwa kocha mpya wa England.

Awali Moyes aliachana na Everton baada ya kupata dili la kuinoa Manchester hata hivyo hakudumu baada ya kuondolewa kwenye timu hiyo miaka 3 iliyopita.

Moyes alikuwa kwenye mapumziko baada ya kuondolewa kwenye na Real Sociedad lakini sasa amerejea England kwa mara nyingine.

Comments