Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli amemteua Geryson Msigwa kuwa mkurugenzi wa idara ya mawasiliano ikulu na kumteua Jerry Muro kuwa msaidizi wake kwenye idara hiyo.
Jerry Muro ameipiga kijembe TFF baada ya kuandika maneno haya kwenye ukarasa wake wa Twitter: "Adui yako akikufungia mlango wa sebuleni basi Mungu anakufungulia ule wa uani." Alihitimisha hivyo.

Comments
Post a Comment