Muro alitumiwa barua ya kuhudhuria kikao cha kamati ya nidhamu ambacho kinafanyika leo katika ukumbi wa wa TFF uliopo karume,
Muro alisema ameitika wito huo na atahudhuria kwa ajili ya mahojiano na kamati hiyo lakini aliongeza kuwa kuna tetesi kwamba huenda akafungia miaka 3 kutojihusisha na soka.
Muro Pia alimlaum Raisi wa chama hicho Jamal Malinzi na kwa madai ya kumdharirisha na kuwataka viongozi hao wamuombe msamaha.

Comments
Post a Comment