Simba yaanza kuchuja wageni


Wachezaji wa kigeni ambao wapo kwenye mipango ya kusajiliwa na Simba wapo wameanza kufanyiwa majaribio leo kuona kama viwango vyao vinaridhisha.

Simba imeweka kambi yake mkoani Morogoro ambapo kocha wa timu hiyo Joseph Omog amesema kuwa zoezi la majaribio kwa wachezaji limeanza rasmi na sasa wameungana na wachezaji wengine kwenye mazoezi.

Wachezaji hao wanaofanyiwa majaribio na Simba ni Strika kutoka Ivory Coast pamoja na kiungo kutoka nchini Congo.

Comments