TFF yakanusha ratiba iliyovuja mitandaoni

RATIBA ILIYOVUJA

Shirikisho la soka Tanzania (TFF) lipo kwenye taratibu za kuzuai ratiba ya ligi kuu bara iliyovuja mitandaoni.

Ratiba ya ligi imezagaa kwa kasi mitandaoni kuna kila dalili huenda ratiba hiyo imevunja kabla ya kutangazwa kutimika na chama hicho.

Msemaji wa TFF Alfred Lucas amekanusha na kusema hakuna ratiba ambayo imetoka na hiyo haiwezi kuwa sahihi.

"Hakuna ratiba sahihi iliyotoka, haiwezi kutoka kienyeji hivyo, kama ratiba hiyo itatoka basi TFF  itatangaza rasmi."

Comments