Umtiti asaini Barca


Beki kisiki wa timu wa timu ya taifa ya Ufaransa na Lyon Samuel Umtiti amesaini miaka 5 kuitumikia timu ya Barcelona.

Umtiti 22, alimwaga wa jana wa kuwatumikia mabingwa hao wa Premiera La Liga hadi mwaka 2020 kwa uhamisho wa Euro 25 Milioni.

Mchezaji huyo wa Ufaransa mwenye asili ya Cameroon alifanya vizuri kwenye michuano ya UEFA Euro na sasa anaingia kwenye historia ya kuichezea timu ya Barcelona kwenye maisha yake.

Comments