Uzi mpya wa Barcelona, ndiyo huu


Timu ya Barcelona leo imetoa uzi wake mpya ( new Jersey) ambao utatumika katika msumu mpya wa ligi mwaka 2016/17 kama uonekavyo hapo juu.


Wachezaji wa Barcelona kutoka kushoto ni Lionel Messi, Gelard Pique, Adres Iniesta, Neymar na Luis kwenye picha ya pamoja wakitangaza uzi mpya utakaotumika Barcelona 2016/17


Comments