Kuelekea maadhimisho ya Simba day uongozi wa timu hiyo na wanachama wake wameamua kuieleta jamii karibu kwa kuchangia damu mahospitalini.
Simba chini ya Raisi wake Evans Aveva amesema watafanya hivyo ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha wiki ya simba kusherekea siku hiyo ifikapo Agosti 8 mwaka huu.
Aveva alisema kuwa wanataka kuiweka jamii karibu kwani sehemu katika maisha na hivyo wanachama na viongoz wameamua kuchangia Damu.
"Kwa namna ya pekee tunajiweka karibu na jamii yetu, tutachangia damu katika hospitali mbalimbali." Alisema Aveva

Comments
Post a Comment