Yanga kazini kama kawa


Timu ya Yanga bado inaendelea vizuri na mazoezi ikiwa ni moja ya harakati za zake za kujiandaa kuvaana na Medeama ya Ghana.

Yanga wanajifua katika uwanja wa Boko Veteran wakipiga na wanaendelea vizuri na mazoezi ikiwa ni sehemu ya mchakato mzima wa kufuzu kwenye hatua ya makundi.

Yanga itashuka dimbani Julai 15, kuvaana na Medeama katika uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam ikiwa ni mechi muhimu inayosubiriwa kwa hamu kubwa.


Comments