Ayew kuikosa Ghana v Rwanda


Mshambuliaji wa West Ham united ya England Adrew Ayew atakosa mechi ya kufuza fainali ya mataifa Afrika (AFCON) dhidi ya Rwanda.

Ayew aliumia katika mechi ya kwanza ya ya ufunguzi wa ligi ya England dhidi ya Chelsea baada ya kushikwa na hamstring iliyomfanya ashindwe kumaliza mechi hiyo.

Mechi hiyo itachezwa Accra Ghana, Septemba 3 mwaka huu ambapo Rwanda atakuwa mgeni wa Ghana.

Comments