Kocha wa timu ya taifa ya England Sam Allardyce anatarijia kuitisha kikosi chake namba moja Agosti 28 mwaka huu.
England itashuka dimbani dhidi ya Slovakia September 4 mwaka huu, itaikaribisha tena Malta katika uwanja wa Wembley kabla ya kwenda Slovenia.
Sam 61, ataunda kikosi kitakachoanza kusaka tiketi ya kufuzu kombe la dunia nchini Urusi mwaka 2018.
Hata hivyo kocha huyo hajaweka wazi nani atakuwa nahodha kwenye timu hiyo huenda akamteua rasmi Septemba 28 baada ya kuchagua kikosi chake namba moja.

Comments
Post a Comment