Klabu ya Everton ipo kwenye mipango ya kuweka mezani kitita cha £15 milion ili kumnasa Wilfried Bony.
Manchester city inaweza kumwachia mchezaji huyo kutokana na kuwepo nje ya mipango ya kocha wa sasa Pep Gurdiola.
Kutokana na kufanya kwa kinda wa Nigeria Kelechi Ihenacho kuna uwezekano mkubwa Gurdiola akamwachia Bony kutimka Goodson park.
Bony ameshindwa kuonesha makali yake aliyokuwa nayo Swansea tangu atue Etihad na huenda akachukua maamuzi ya kuachana na timu yake ya sasa.
Comments
Post a Comment