Huenda safari ya Joe Hart ikaiva rasmi baada ya kipa wa Barcelona Claudio Bravo kuwasili etihad kukamilisha dili la usajili.
Dalili zinaonesha dili hilo liko mbioni kukamilika kwa kuwa Barcelona ipo kwenye hatua za mwisho za kumalizana na usajili wa kipa wa Ajax Jasper Cillessen.
Usajili wa kipa huyo huenda ukakamilika muda wowote kuanzia sasa endapo kipa huyo wa Barcelona atakamikisha zoezi la vipimo.

Comments
Post a Comment