Cameroon U17 yaichapa Kenya 7-0.


Timu ya vijana ya Cameroon chini ya umri wa miaka 17 jana wameifunga Timu ya vijana wa Kenya goli 7-0.

Mechi hiyo ilikua ni raundi ya pili kwenye mtoano kuelekea kufuza fainali za mataifa Afrika (CAN) kwa vijana wenye umri chini ya miaka 17 yatakayofanyika Madagscar mwaka 2017.

Tanzania ni miongoni kati ya mataifa yanashiriki mashindano hayo baada wiki iliyopita vijana wa Tanzania kutoa sare na Afrika Kusin katika mchezo wa kwanza.

Comments