Timu ya Genk inaendelea na harakati zake za kupigania kufuzu kwenye hatua ya makundi Europa ligi na leo watakipiga dhidi ya NK Locomotiva.
Katika mechi ya leo Genk ipo ugenini ambapo wiki ijayo, timu hiyo itaikaribisha NK katika uwanja wao wa nyumbani.
Mechi hiyo itachezwa leo majira ya saa 3 kamili usiku ikiwemo na baadhi ya mechi zingine za kufuzu kwenye michuano hiyo zitachezwa muda huo.

Comments
Post a Comment