Timu ya Manchester city imeendeleza dozi uwanjani baada ya kuichapa Stoke city bao 4-1 leokatikaauwanjaa waBrittaniaa.
Sergio Aguero ameendelea kutikisa nyavu baada kutupia nyavuni bao 2, na magoli 2 mwisho yakifungwa na Nolito dakika ya 86, 88 wakati lile la Stoke lilifungwa na Kirck Bojan kwa mkwaju wa penati.
Kwa ushindi huo kunaifanya city kukusanya jumla pointi 6, baada ya kupata ushindi kwa mechi mbili mfululizo ikiwemo ile iliyopita dhidi ya sunderland.

Comments
Post a Comment