Mabingwa wa England Leicester city leo wameanguakia pua kwenye ufunguzi wa ligi baada ya kufungwa bao 2-1 na Leicester city.
Hull city ilianza kupata bao la kwanza dakika ya 45 kupitia Adama Diomande, lakini kipindi cha pili Leicester ilichomoa kwa mkwaju wa penati kupitia Rihad Mahrez.
Hata hivyo Hull city ilipata bao la pili kupitia Robert Snodgrass dakika ya 67 na kuyafanya matokeo kuwa 2-1 hadi mwisho wa mchezo.

Comments
Post a Comment