Mshambuliaji nyota Kipre Herman Tchetche baada ya kutamba Azam FC sasa amesaini rasmi katika ya Al Nahdha ya Oma.
Awali Azam ilimgomea mchezaji huyo kuondoka kwenye timu hiyo kutokana na kuwa na mkataba wa mwaka mmoja na mchezaji huyo.
Pamoja na tuhuma kutoka Azam lakini tayari mchezaji huyo ametambulishwa katika timu hiyo ambayo inachipukia kwa kasi kubwa nchini Oman.
Kipre Tchetche amekabidhiwa jezi namba 10 kama ikiwa ni sawa na ile jezi aliyokuwa akivaa alipokuwa akiitumikia Azam FC.

Comments
Post a Comment