Kisiga ailaza vibaya Mtibwa


Timu ya Mtibwa ikiwa kwenye uwanja wa nyumbani imekubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Ruvu Shooting.

Bao pekee lililofungwa na Shabani Kisiga limetosha kuipata Ruvu Shooting pointi 3 baada ya Mtibwa kukubali kichapo cha bao 1-0.

Ruvu Shooting inaungana na Simba kwenye zoezi la kukusanya pointi 3 siku ya leo baada ya timu kuibuka na ushindi wa goli 3 katika uwanja wa taifa.

Comments