Maafande waituliza Simba taifa


Timu ya JKT Ruvu imeitoa nishai Simba katika uwanja wa taifa baada ya kugawana pointi na timu hiyo.

Si timu ya Simba wala JKT Ruvu ambayo iliweza kuchungulia nyavu za mwenzie ndani ya dakika 90 baada kutoka sare isiyokuwa na magoli.

Kwa matokeo hayo kunaifanya Simba Simba kukusanya idadi ya pointi nne katika mechi mbili ilizocheza hadi sasa.

Comments