Uongozi wa Simba umeamua kumpatia mshambuliaji wao sasa Laudit Mavugo nyumba waliyompangia mganda Hamis Kiiza maeneo ya Sinza Dar es Salaam.
Simba iliamua kuachana na kiiza baada ya kumbwaga kwenye usajili ambapo wakongwe hao wa soka Tanzania waliamua kukomaa na usajili wa Laudit Mavugo.
Pia Timu hiyo imeshughulikia makazi kwa wachezaji wa kigeni waliosajiliwa Simba ambapo wamepatiwa makazi maeneo ya Sinza jijini Dar es Salaam.

Comments
Post a Comment