Neymar aipaisha Brazil Olympic


Nyota wa Barcelona Neymar jana ameibeba timu ya yake ya Brazil kutwaa medali ya dhahabu  katika michuano ya Olympic.

Neymar 23, alifunga bao la kuongoza hata hivyo Ujermani ilichomoa bao na kuyafanya matokeo kuwa 1-1 hadi mwisho wa mchezo.

Hata hivyo Brazil iliweza kuchakua medali baada ya kushinda kwa mikwaju ya penati ambapo brazil ilishinda kwa penati.5-4.

Comments